Más info
Hapa ni sehemu penye mali ya lugha la Kiswahili katika wavu (utandu). Nilianza kupatayarisha miaka fulani iliopita kama 'bookmark file' kwenye tafitiwavu yangu. Ikawa watu wengine walikuwa wananiomba niwataarifa kuhusu sehemu hizi, basi nikawa na mawazo niwawekee maarifa hayo kwenye ukurasa wangu wa utandu.
Hapa ni sehemu penye mali ya lugha la Kiswahili katika wavu (utandu).